Home kwetu Afariki Baada Ya Kufanya Mapenzi Machakos

Afariki Baada Ya Kufanya Mapenzi Machakos

108
0
A crime scene at night. Police cars with emergency lights flashing behind yellow cordon tape declaring - police line, do not cross. The cordon tape is out of focus and then gradually becomes in focus.

Mwanaume mmoja huko Mlolongo kaunti ya Machakos amepatikana amefariki katika gesti moja baada ya usiku wa mahanjam na mwanamke.

Kulingana na mhudumu wa Miamatha Guest House eneo hilo ni kwamba mwanaume huyo kwa jina la Clinton Wanakacha alichukua chumba na kuingia na mwanamke mmoja lakini asubuhi alipatikana amefariki huku mipira miwili ya condom iliyotumika ikipatikana katika chumba hicho.

Mwili wa marehemu kwa sasa unahifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha city huku uchunguzi ukiendelea.

Previous articleAfunga Ndoa Na Rangi Ya Pink/Waridi
Next articleGuardian Angel Afunga Ndoa.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here