Home BURUDANI Guardian Angel Afunga Ndoa.

Guardian Angel Afunga Ndoa.

105
0

Msanii wa nyiimbo za injili Guardian Angel hatimaye amemuoa mpenzi wake wa mda Esther Musila.

Ndoa ya wawili hao inajiri siku chache tu baada ya Guardian Angel kutangaza tarehe moja mwenzi huu kwamba yuko Tayari sasa kuingia kwenye hatua nyingine katika maisha yake.

Guardian Angel na Esther walizua gumzo walipotangaza wazi mapenzi yao mwezi wa tano mwaka jana ikizingatiwa kwamba Esther amemzidi umri Gurdian na miaka 19.

Harusi ya wawili hao ilifanyika jana siku ambayo Guardian Angel alikua anasheherekea siku yake ya kuzaliwa.

Previous articleAfariki Baada Ya Kufanya Mapenzi Machakos
Next articleMarioo: Sijawahi Kuingia Katika Mapenzi Toka Nianze Mziki
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here