Home BURUDANI Jason Derulo Ampiga Shabiki Aliyemuita Usher Badala Ya Jina Lake

Jason Derulo Ampiga Shabiki Aliyemuita Usher Badala Ya Jina Lake

198
0

Star wa muziki wa RnB Jason Derulo anashikiliwa na polisi baada ya kuwapiga wanaume wawili huko Las Vegas baada ya wanaume hao kumuita Usher.

Kulingana na taarifa ya polisi ni kwamba Derulo alikua anaingia katika mkahawa mmoja eneo la tukio ambapo wanaume hao wawili walimuita kwa jina la mwanamziki mwenza Usher Raymond jambo ambalo lilimkasirisha na kupelekea ugomvi huo.

Derulo alikamatwa na polisi ila wanaume hao wawili waliamua kumsamehe na kukubaliana kwamba hawatamfungulia mashtaka.

Previous articleRosa Ree Awachana Watu Maarufu Wanaojiingiza Katika Mziki.
Next articleAfunga Ndoa Na Rangi Ya Pink/Waridi
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here