Home kwetu Amkata Mamake Mikono Kisa Mama Hampendi Vilivyo.

Amkata Mamake Mikono Kisa Mama Hampendi Vilivyo.

110
0

Mwanaume mmoja huko Homa Bay anashikiliwa na polisi baada ya kumkata kwa panga na kumjeruhi mamake kisa anahisi mamake hampendi vilivyo.

Kulingana na chifu wa kata ndogo ya Kwabwai Joseph Makoteng, mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 26 alimkata mamake mzazi mikono akilalamika kwamba amenyimwa mapenzi halisi ya wazazi na baadaye kutorokea msituni.

Kamanda wa polisi kaunti ndogo ua Ndhiwa Paul Rioba anasema kwa sasa mshukiwa anasubiri kufikishwa mahakamani.

Previous articleUgomvi Watokota Baina Ya Wasanii Shatta Wale (Ghana) Na Burnaboy (Nigeria.)
Next articleNadia Mukami Aeleza Kwa Nini Anaficha Ujaa Uzito Wake.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here