Msanii Nadia Mukami amefichua kwamba aliipoteza mimba yake na msanii mwenza Arrow Boy.
Nadia amethibitisha kwamba ni kweli alikua na uja uzito wa msanii mwenza Arrow Boy lakini kwa bahati mbaya aliupoteza ujauzito huo kitu ambacho kinawafanya wafiche ujauzito wa sasa.
Haya yanajiri baada ya guzmo kuzagaa kwamba wawili hawa wanatarajia kupata mtoto pamoja japo wenyewe hawajaliweka wazi.