Home HABARI BRAZIL: Watu 10 Wafariki Baharini Brazil. HABARIkimataifa BRAZIL: Watu 10 Wafariki Baharini Brazil. By admin - January 10, 2022 122 0 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Watu 10 wamefariki na wengine 32 wakajeruhiwa baada ya mlima kuporomoka na kuwangukia wakiwa baharini nchin Brazil. Wahasiriwa walikua watalii katika maboti kadhaa yaliyokua yakipita karibu na mlima huo ulikua katika kingo za bahari.