Home HABARI MAREKANI: Watu 19 Wafariki Katika Mkasa Wa Moto.

MAREKANI: Watu 19 Wafariki Katika Mkasa Wa Moto.

133
0

Watu 19 wamefariki huku wengine 32 wakijeruhiwa katika mkasa wa moto kuteketeza jumba moja la makaazi jijini New York nchini Marekani.

Miongoni mwa waliofariki ni watoto tisa.

Previous articleBRAZIL: Watu 10 Wafariki Baharini Brazil.
Next articleMALI: ECOWAS Yaiwekea Vikwazo Mali
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here