Home dunia Anunua Saa Ghali Ili Avae Na Jacket Moja Lake

Anunua Saa Ghali Ili Avae Na Jacket Moja Lake

193
0

Mwana masumbwi maarufu kutoka Marekani May Weather amezua gumzo mitandaoni baada ya kuonyesha saa yenye thamani ya shilingi milioni 226 pesa za Kenya.

May weather amewashangaza wengi baada ya kufichua kuwa sababu kuu iliyompelekea kununua saa hiyo ni ili aweze kumatch na Jacket yake moja ya Louis Vuitton.

Kulingana na May weather jacket hilo ndilo lililompa msukumo wa kutafuta saa hiyo hadi akainunua.

Previous articleJamaa Apandikizwa Moyo Wa Nguruwe Baada Ya Wake Kufeli
Next articleMsanii Ibra Adaiwa Kutelekeza Jukumu Lake La Ulezi
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here