Home BURUDANI Diamond atangaza kumrudisha Queen Darling

Diamond atangaza kumrudisha Queen Darling

103
0

Msanii wa mziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania Diamond platinum ametangaza kumrudisha tena kwenye mziki msanii wa WCB Queen Darling.

Kupitia insta story yake Diamond platinum amepachika vipande vya video vikimuonyesha queen Darleen akiwa studio akitayarisha mziki na kusema kwamba mda sasa umefika kwa mrembo huyo kurudi kwenye mziki baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu.

Queen Darleen amekua kimya kwa kipindi cha mda mrefu kwa sasa jambo ambalo limekua likizua maswali miongoni mwa mashabiki na ujumbe huu huenda ukawa afueni kwa mashabiki.

Previous articleMsanii Ibra Adaiwa Kutelekeza Jukumu Lake La Ulezi
Next articleWasanii Pwani Watetea Utumizi Wa Fedha Za Kaunti Kuwalipa kwa Sherehe
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here