Home BURUDANI Cardi B: Nimechoshwa na Umaarufu Wangu.

Cardi B: Nimechoshwa na Umaarufu Wangu.

116
0
LOS ANGELES, CALIFORNIA - NOVEMBER 19: Cardi B attends the 2021 American Music Awards Red Carpet Roll-Out with host Cardi B at L.A. LIVE on November 19, 2021 in Los Angeles, California. (Photo by Axelle/Bauer-Griffin/FilmMagic)

Rapper toka Marekani Cardi B ameshtua wengi baada ya kusema amechoka kuwa maarufu.

 “Kuwa staa kunachosha”

Cardi B amesema haya kupitia akaunti yake ya mtandao wa Twitter, bila ya kueleza zaidi sababu msingi iliyopelekea kuandika ujumbe huo.

Kauli hiyo imepokelewa na hisia tofauti huku wengine wakimuunga mkono wakisema kuwa staa kunafanya maisha yako yakose usiri, ilhali wengine wakimpinga na kuhoji kuwa maarufu huleta pesa na kwamba kuwa masikini kunachosha zaidi kuliko kuwa maarufu.

Previous articlePolycarp Wa Sauti Sol Awashtumu Wasanii Wanaojiingiza Kwenye Siasa.
Next articleHamisa Na Tanasha Wakutana Kenya
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here