Home BURUDANI Hamisa Na Tanasha Wakutana Kenya

Hamisa Na Tanasha Wakutana Kenya

105
0

“Baby Mamaz” wa Msanii Diamond Platinumz Tanasha Donna na Hamisa Mobetto wazua gumzo mitandaoni baada ya kuonekana wakiwa pamoja kwa mara ya kwanza.

Video walizo’share kwenye Instastory zao zinawaonesha wawili hao wakiwa pamoja na kufurahia kukutana baada ya Hamisa kutua nchini Kenya.

Hamisa Mobetto ndiye alikuwa wakwanza kumzalia na Diamond mtoto kwa jina Daylan na huku Tanasha Donna akimzalia mtoto kwa jina Naseeb Jr.

Previous articleCardi B: Nimechoshwa na Umaarufu Wangu.
Next articleUganda:Msanii Aamua Kuuza Magari Yake Kisa Bei Ya Mafuta Imepanda
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here