Home BURUDANI Sauti Sol Wawasihi Wakenya Kudumisha Amani

Sauti Sol Wawasihi Wakenya Kudumisha Amani

106
0

Kundi la mziki wa kizazi kipya humu nchini Sauti Sol limewasihi mashabiki wake kuwa makini wakati huu wa kampeini za kisiasa.

Kupitia ukurasa wao wa Facebook Sauti Sol wametoa wito kwa mashabiki wao pamoja na wakenya kwa ujumla kuwa makini wasituimke vibaya na wanasiasa wakati huu ambapo siasa zimepamba moto nchini.

Previous articleRose Muhando Ataka Kuolewa Na Mzungu
Next articleMwanamke Mwenye Wafuasi Wengi Zaidi Instagram.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here