Home BURUDANI Dj Pinye: Gengetone Haiwezi Kuuzika Kimataifa.

Dj Pinye: Gengetone Haiwezi Kuuzika Kimataifa.

107
0

Dj mkongwe nchini Dj Pinye amezua gumzo baada ya kusema kwamba aina ya mziki maarufu wa Gengetone hauwezi vuka mipaka.

Pinye anasema mashairi na mtindo wa mziki huo hauna mpangilio na ubora wake haufikii viwango vya kufanya vizuri kwenye soko la kimataifa.

Aidha Pinye anasema wasanii wa mziki wa Gengetone wametosheka na soko la Kenya na hawajajipatia changamoto ya kutayarisha mziki kwa ajili ya soko la kimataifa.

Previous articleJose Chameleone Ataka Kuenziwa Akiwa Hai.
Next articleAmuua Mpenzi Sababu Alimtembelea Bila Kumuarifu.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here