Home BURUDANI Jaguar Aonya Wasanii Kukoma Kutafuta Msaada Kwake.

Jaguar Aonya Wasanii Kukoma Kutafuta Msaada Kwake.

124
0

Msanii wa mziki wa kizazi kipya mbaye pia ni mbunge wa starehe kaunti ya Nairobi Jaguar amewaomba wasanii kukoma kumtafuta wakati wako na shida za kifedha.

Jaguar anasema alichaguliwa kama mwakilishi wa wakaazi wa eneo bunge la starehe na kazi yake kuu kama mbunge ni kuwahudumia wakazi wa eneo bunge hilo pekee.

Kulingana na Jaguar ni kwamba kuna fikra potofu miongoni mwa wasanii kwamba ana jukumu la kuwasaidia wasanii nchini sababu aliwahi kuwa msanii miaka ya nyuma.

Previous articleMwanamke Mwenye Wafuasi Wengi Zaidi Instagram.
Next articleJose Chameleone Ataka Kuenziwa Akiwa Hai.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here