Home BURUDANI Bebe Cool: Mimi Na Jose Chameleone Ndio Wasanii Wakubwa Pekee Uganda

Bebe Cool: Mimi Na Jose Chameleone Ndio Wasanii Wakubwa Pekee Uganda

116
0

Msanii Bebe Cool kutoka Uganda amezua gumzo baada ya kudai kwamba hakuna msanii mkubwa zaidi yake yeye na msanii mwenza Jose Chameleon katika taifa hilo.

Bebe Cool anadai yeye pamoja na Chameleon wana mchango mkubwa kwenye tasnia ya mziki wa taifa hilo kuliko msanii yoyote mwingine mbali na kutoa hits nyingi ambazo zimeutangaza mziki wa Uganda kimataifa tangu waingie kwenye mziki.

Wawili hao wanatarajiwa kutoana kijasho kwenye tamasha moja mjini Nambole, kupimana nguvu nani mkali baina ya wawili hao.

Previous articleFemi One Akiri Kuvutiwa Kimapenzi na Msanii Patoranking Kutoka Nigeria
Next articleMotif: Wasanii Wawache Kusukuma Mziki M’bovu Katika Soko La Mziki
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here