Home BURUDANI Motif: Wasanii Wawache Kusukuma Mziki M’bovu Katika Soko La Mziki

Motif: Wasanii Wawache Kusukuma Mziki M’bovu Katika Soko La Mziki

142
0

Mtayarishaji wa mziki wa kizazi kipya kutoka jijini Nairobi Motif ametoa wito kwa wasanii kuzingatia ubora wa kazi kila wanapoingia studio kutayarisha mziki wao mpya.

Motif ameeleza kuwa ni heri msanii agharamike pesa nyingi lakini ahakikishe kwamba anatayarisha mziki ambao utakua na vigezo sahihi na nafasi ya kufanya vizuri kwenye soko la mziki.

Kulingana na Motif ni kwamba wasanii wengi wamepoteza hela nyingi kusukuma mziki m’bovu sokoni na mwishowe wanaambulia hasara.

Previous articleBebe Cool: Mimi Na Jose Chameleone Ndio Wasanii Wakubwa Pekee Uganda
Next articleWizkid: Mimi, Burnaboy Pamoja Na Davido Ni Marafiki Wakubwa
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here