Msanii mkongwe wa mziki nchini Tanzania Q Chief amemshauri msanii Harmonize awache tabia ya kushindani na wasanii waliomtangulia katika mziki nchini humo.
Q Chief amemtaka Harmonize kujifunza kutokana na maisha ya wasanii waliomtangulia, badala ya kupoteza nguvu kushindana nao.