Home BURUDANI Willy Paul: Nimewasamehe Maadui Wangu Wote

Willy Paul: Nimewasamehe Maadui Wangu Wote

128
0

Msanii Willy Paul ametangaza kuwasamehe watu wote ambao walimsababishia maumivu hasa kwenye safari yake ya mziki.

Willy Paul anasema ameamua kuwasamehe adui zake baada ya kupona kutokana na msongo wa mawazo ambao ulikua ukimuandama.

Kulingana na Willy Paul ni kwamba tangu alipoamua kuwasamehe maadui zake mungu amekua akimfungulia milango ya mafanikio kwenye mziki Pamoja na biashara zake.

Previous articleQ Chief Amshauri Harmonize Kuwacha Kushindana Na Diamond Platnumz
Next articleJua Cali Amsuta Dj Pinye Kwa Kudunisha Gengetone
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here