Msanii kutoka hapa pwani Akeelah amemtaja msanii mwenza Masauti kama msanii mwenye utunzi wa ajabu unao mvutia.
Akeelah anasema mda mwingi hujipata akipiga kelele na kuchanganyikiwa kila anaposkia nyimbo za masauti kufuatia ubunifu na mpangilio wa mashairi yake.
Akeelah ametoa wito kwa Masauti kuendelea kutoa kazi nzuri ya kuiwakilisha pwani ya Kenya katika soko lamziki kimataifa.