Home BURUDANI Bien Wa Sauti Sol Atangaza kuwacha Unywaji Pombe Na Utafunaji Mugoka

Bien Wa Sauti Sol Atangaza kuwacha Unywaji Pombe Na Utafunaji Mugoka

128
0

Msanii Bien wa kundi la mziki la Sauti Sol Bien ametangaza kuacha uraibu wa ulaji wa mugoka pamoja unywaji pombe katika maisha yake.

Bien anasema maamuzi hayo yanalenga kuubadili mfumo wake wa kimaisha na kuwa mtu mpya kabisa mwaka huu.

Aidha Bien amesema huenda akachukua break kutoka kwenye mitandao ya kijamii akiitaja kama chanzo cha mwelekeo mbaya wa maisha yake kwa sasa.

Previous articleNadia Mukami Atangaza Kukatiza Urafiki Na Wandani Wake Wanafiki.
Next articlePrezzo Atangaza Kufanya Mziki Wa Injili Sasa. Ameokoka?
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here