Home BURUDANI Prezzo Atangaza Kufanya Mziki Wa Injili Sasa. Ameokoka?

Prezzo Atangaza Kufanya Mziki Wa Injili Sasa. Ameokoka?

111
0

Rapper kutoka jijini Nairobi Prezzo amedokeza kwamba hivi karibuni huenda akaingia rasmi kwenye mziki wa injili.

Prezzo anadai kwa mda sasa pia amekua akiguswa saana na nyimbo za injili na ndani yake amekua akiiskia sauti ya mungu ikimuita amhudumie kwenye huduma ya uimbaji.

Aidha Prezzo anasema mafanikio yake yote katika maisha yake kwa mda sasa ni ushahidii tosha kwamba mungu anatenda mema katika maisha yake.

Previous articleBien Wa Sauti Sol Atangaza kuwacha Unywaji Pombe Na Utafunaji Mugoka
Next articleAkeelah avutiwa na Masauti
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here