Home dunia Mwalimu Arekodi Sauti Ya Mnyambo Na Kutumia Kuuliza Swali Wanafunzi

Mwalimu Arekodi Sauti Ya Mnyambo Na Kutumia Kuuliza Swali Wanafunzi

138
0

Mwalimu mmoja amezua kihoja katika mitandao ya kijamii baada ya kuripotiwa kurekodi sauti ya mnyambo wake kimakosa na kutumia mlio kuuliza swali kwa wanafuzni aliokua akiwafunza kwa nji aya mtandao.

Katika kipande cha video kilichosambazwa katika mtandao wa Instagram, na mwanafuzni wake mmoja kwa jina Moore, (@the_mi_amor) ameeleza kuwa kuna swali ambalo lilihitaji mwalimu kuwatumia mlio uliorekodiwa ili wanafunzi wajibu papo kwa hapo.

Kilichofuata ni kimya kirefu kabla ya sauti hiyo ya mnyambo, jambo lililowaacha wanafunzi wakiangua kicheko na kupelekea kutamatika kwa somo ghafla.

Previous articleMwanamke Adai Kubakwa na Chris Brown
Next articleRick Ross Kuitwa “Babu” Mwaka Huu
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here