Home BURUDANI Country Boy Athibitishwa Kupokonywa Gari Na Konde Gang

Country Boy Athibitishwa Kupokonywa Gari Na Konde Gang

124
0

Msanii Country Boy maarufu kama Country Wizzy kutoka nchini Tanzania amethibitisha kupokonywa gari alilopewa wakati alipokua chini ya label ya Konde Gang baada ya kutoka kwenye label hiyo.

Country Wizzy amesema kwamba label hiyo ilichukua uamuzi huo baada ya yeye kuomba kutamatisha mkataba wake baada ya kuona kwamba kuna mambo flani ambayo hayaendi sawa.

Awali Label ya Konde Gang ilitoa tamko na kusema kwamba Country Boy alitoka Konde Gang baada ya mkataba wake kuisha kauli ambayo inakinzana na madai ya sasa ya rapper huyo.

Previous articleRihanna Amepachikwa Mimba
Next articleNay Wa Mitego Ataka Mashabiki Wamnunulie Gari Wema Sepetu
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here