Home BURUDANI Don Jazzy Alia Baada Ya Rihanna Kupachikwa Mimba

Don Jazzy Alia Baada Ya Rihanna Kupachikwa Mimba

239
0

Producer Nguli wa mziki kutoka Nigeria Don Jazzy ameelezea kusikitishwa kwake na taarifa za ujauzito wa star wa mziki kutoka marekani Rihanna.

Kupitia mitandao yake ya kijamii Don Jazzy ameelezea kusikitishwa kwake na taarifa hizo na kudai kwamba mbio zake za kumtaka mrembo huyo hatimaye zimegonga mwamba.

Kulingana na Don Jazzy ni kwamba ndoto yake ya kumpata mrembo huyo kwa sasa zimeingizwa doa na ujauzito huo na kwa sasa hana budi kukata tamaa.

Previous articleNdugu Waua Baba Yao Kwa Kumkatakata Kwa Slasher
Next articleDiamond Platnumz Mfalme Wa Youtube Afrika Mashariki
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here