Home BURUDANI Rihanna Amepachikwa Mimba

Rihanna Amepachikwa Mimba

102
0
Rihanna is set to be a Mom for the very first time ! She was spotted out in NYC with Boyfriend, ASAP Rocky this weekend, shocking the world with her baby bump on full display. The inseparable pair stepped out in Harlem, his hometown, and were seen looking happier than ever. Rihanna’s bare bump was adorned by an elegant gold cross with colorful jewels, as she leaned into her boyfriend’s tender kiss on her forehead. She looked absolutely radiant as they enjoyed a walk in the snowy brisk air together before headed back to their new apartment together to prepare for parenthood. MANDATORY BYLINE - DIGGZY/Shutterstock

Star wa mziki kutoka Marekani Rihanna pamoja na mpenzi wake Rapper ASAP Rocky wametangaza rasmi kwamba wanatarajia mtoto.

Kupitia picha ambazo wameziachilia kwenye mitandao wawili hao wametangaza ujauzito huo na kuuweka wazi kwa mashabiki wao kwamba hivi karibuni wanatarajia kupata mtoto.

Picha hizo za ujauzito ambazo kwa sasa zinasambaa kwenye mitandao mbali mbali zilipigwa jijini New York wikendi iliyopita.

Previous articleDavido Kununua Nyumba 3, Magari 5 Na Ndege 1 Mwaka Huu
Next articleCountry Boy Athibitishwa Kupokonywa Gari Na Konde Gang
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here