Home HABARI Argentina: Watu 16 Wafariki Baada Ya Kutumia Cocaine

Argentina: Watu 16 Wafariki Baada Ya Kutumia Cocaine

152
0

Watu 16 wamefariki huku wengine 50 wakilazwa hospitali nchini Argentina, baada ya kutumia dawa ya kulevya aina ya cocaine ambayo ilikua na sumu.

Kulingana na taarifa jijini Buenos Aires, dawa hizo zinakisiwa kuongezwa kemikali zengine zaidi kuongeza makali lakini iligeuka kuwa sumu.

Previous articleDRC: Watu 26 Wafariki Kwa Kupigwa Na Stima
Next articleJamaa Auliwa Sababu Ya Shilingi 32/= tu!!!!
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here