Wapiganji wa kundi moja la waasi katika taifa la kidemokrasia la Congo wanaripotiwa kuua idadi kubwa ya watu ambayo bado haijathibishwa, baada ya kushambulia kambi moja ya wakimbizi wa ndani kwa ndani, mashariki mwa taifa hilo.
Taarifa za punde zianeleza kuwa, waasi hao wamekata kata kwa mapanga idadi kubwa ya wakimbizi katika mji mmoja unaopatikana katika mkoa wa Ituri.