Home dunia Jamaa Auliwa Sababu Ya Shilingi 32/= tu!!!!

Jamaa Auliwa Sababu Ya Shilingi 32/= tu!!!!

135
0

Polisi huko Uganda wanawashikilia watu wa tatu baada ya kumuua mwenzao kisa deni la pombe la shilingi 32.

Kulingana na taarifa ya polisi wilaya ya Rukugiri mwanaume huyo kwa jina Fred Obadiah aliingia kwenye mkahawa mmoja na kuagiza Pombe ya bei ya shilingi 1000 za Uganda ambazo ni sawia na shilingi 32 za kenya na kuchomoka bila kulipa.

Inaripotiwa wahudumu walipiga kamsa ya mwizi ambapo watu waliokua nnje walimshambulia hadi kumuua.

Previous articleArgentina: Watu 16 Wafariki Baada Ya Kutumia Cocaine
Next articleJermaine Dupri Afichua Sababu Ya Kuvunjika Kwa Penzi Lake Na Janet Jackson
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here