Home BURUDANI Jux Atangaza Penzi Jipya

Jux Atangaza Penzi Jipya

158
0

Msanii Juma Jux ametangaza rasmi kwamba kwa sasa yuko kwenye penzi jipya.

Jux ambaye maisha yake ya mahusiano ameyaweka siri kwa mda tangu atengane na msanii mweza Vanesa Mdee amepachika picha inayomuonyehs akiwa na mrembo kwenye gari na kuweka caption inayosema ‘’I love You”.

Hata hivyo picha hiyo inaonyehsa tu miguu ya mrembo huyo huku mashabiki wakionyesha kiu cha kumtambua mrembo huyo.

Previous articleJermaine Dupri Afichua Sababu Ya Kuvunjika Kwa Penzi Lake Na Janet Jackson
Next articleSasa Utajulishwa Mtu Akichukua Screenshots Za Chats Zenu Facebook
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here