Mtandao wa Facebook Messenger sasa utakupa taarifa wakati woowte mtu unaye chat naye atakapo chukua screen shot ya mazungumzo yenu katika chats.
Mmiliki wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg ametangaza hili katika moja wapo ya mabadiliko mapya katika mtandao wa Facebook Messenger yanayolenga kuboresha utumizi wake.
Mabadiliko haya yataweza kuzuia kusambazwa kwa mazungumzo ya siri baina ya watu wawili bila ya mtu kujua.