Msanii Zuchu amejitokeza kukana madai kwamba yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi boss wake ambaye ni msanii Diamond Platinumz.
Zuchu ameweka wazi kwamba yeye na Diamond Platinumz wana mahusiano ya kikazi pekee kama boss na mfanyikazi wake na hakuna uhusiano wowote wa kimapenzi kama invyodaiwa kwamba wanakaribia kufunga ndoa.
Kulingana na Zuchu ni kwamba amekua akimpenda Diamond Platnumz kama mwanamziki kabla hata ajiunge na WCB.