Home BURUDANI Maonyesho Ya Maisha Ya Bob Marley Nchini Uingereza

Maonyesho Ya Maisha Ya Bob Marley Nchini Uingereza

114
0

Familia ya nguli wa mziki wa Reggae Bob Marley wamefungua rasmi maonyesho ya gwiji huyu huko jijini London nchini uingereza.

Maonyesho hayo ambayo yamepewa jina la One Love experience yanatarajiwa kufanyika kwa mda wa takriban siku kumi kuenzi Maisha ya Bob Marley.

Kulingana na waandalizi wa maonyesho hayo ni kwamba wanalenga kuonyehsa mashabiki wa msanii huyo baadhi ya vitu alivyovitumia Pamoja na picha mbali mbali zitakazoonyesha Maisha halisi aliyowahi kuishi Bob Marley.

Previous articleZuchu Asema Hili Kuhusu Mapenzi Kati Yake Na Diamond Platnumz
Next articleJua Cali : Hakuna “Cartels” Katika Mziki Kenya
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here