Home BURUDANI Kanye West akasirishwa na Tik Tok. Kulikoni?

Kanye West akasirishwa na Tik Tok. Kulikoni?

159
0

Msanii Kanye West kutoka nchini Marekani ameelezea kughadhabishwa kwake na hatua ya binti yake mwenye umri wa umri wa miaka 8, kuwepo kwenye mtandao wa kijamii wa Tik Tok.

Kanye ameelezea hasira zake baada ya kugundua kwamba mwanawe North West ana akaunti ya Tiko Tok, bila idhini yake kama baba mzazi.

Kulingana na Kanye ni kwamba anahitaji majibu kutoka kwa mzazi mwenza Kim Kardashian kuhusu swala hilo maana ana haki ya maamuzi kama baba kwa maisha ya watoto wake.

Previous articleOtile Brown Amuonya Vera Sidika Akome Hili
Next articleTravis Scott Na Kylie Jenner Wapata Mtoto Wa Pili
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here