Home BURUDANI Travis Scott Na Kylie Jenner Wapata Mtoto Wa Pili

Travis Scott Na Kylie Jenner Wapata Mtoto Wa Pili

156
0

Rapper kutoka Marekani Travis Scott pamoja na mpenzi wake mwanamitindo Kylie Jenner wamebarikiwa kupata mtoto wa kiume.

Kupitia mtandao wake wa instagram Kylie ametangaza habari hizo huko akisema kwamba yeye pamoja na mtoto wako salama.

Wawili hao tayari walikua wamebarikiwa mtoto msichana na mtoo huyu wakiume ni wa pili kwenye familia yao.

Previous articleKanye West akasirishwa na Tik Tok. Kulikoni?
Next articleSsarru: Achaneni Na Trio Mio
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here