Home dunia Amuua Mwenzake Sababu Ya Kioo

Amuua Mwenzake Sababu Ya Kioo

117
0

Mwanamke mmoja kutoka jimbo la Ogun huko Nigeria anashikiliwa na polisi baada ya kumuua binamu ya mumewe kisa amevunja kioo cha kujipambia.

Cynthya Olukiowu mwenye umri wa miaka 30 alimuua kwa kumdunga kisu binamu ya mumewe baada ya wawili hao kugombania kioo.

Kulingana na taarifa ya polisi ni kwamba mshukiwa alipandwa na hasira na kumdunga kisu Habeeb Aremu mwenye umri wa miaka 18 na kumuua papo hapo.

Previous articleDiamond Atumbuiza Katika Tamasha La Globalspin
Next articleEri Omondi: Siwezi Kuingia Kwenye Siasa
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here