Home BURUDANI Jux: Sitawahi Zifuta Picha Za Vanessa

Jux: Sitawahi Zifuta Picha Za Vanessa

515
0

Msanii kutoka Tanzania Jux amesema kwamba kamwe hawezi kufuta picha za mpenzi wake wa zamani Vanessa Mdee kwenye mitandao yake ya Kijamii.

Jux anasema kila kitu kilichopo kwenye mitandao yake ya kijamii ni hatua tofauti katik asafari yake ya maisha.

Kulingana na Jux ni kwamba matukio, picha zote zilizopo kwenye mitandao yake ni kumbukumbu kwa kila alichokipitia na haiwezekani kufuta kumbukumbu hizo

Previous articleMarekani: Biden Apinga Taarifa Za Urusi Kuondoa Majeshi Yake
Next articleMwanamke Adai Mziki Wa Msanii Ulimsababishia Mimba
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here