Home HABARI Marekani: Biden Apinga Taarifa Za Urusi Kuondoa Majeshi Yake

Marekani: Biden Apinga Taarifa Za Urusi Kuondoa Majeshi Yake

129
0

Taifa la Marekani limepinga taarifa kwamba urusi imeanza kuondoa majeshi yake katika mpaka wake na taifa la Ukraine.

Taarifa rasmi kutoka uongozi wa rais Joe Biden, imedai taarifa za Urusi kuanza kuondoa majeshi yake kama za uongo ikishikilia kwamba kuna zaidi ya wanajeshi 7000 bado katika eneo la mpaka.

Previous articleNIGERIA: Watu Wenye Silaha Wapiga Risasi Watu 8 Sokoni
Next articleJux: Sitawahi Zifuta Picha Za Vanessa
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here