Home kwetu Ajiua Sababu Ya Ksh. 140

Ajiua Sababu Ya Ksh. 140

244
0

Polisi huko Kisii wameanzisha uchunguzi baada ya mwanaume mmoja kujiua kisa ugomvi na mkewe wakigombania shilingi 140.

Kulingana na mkewe ni kwamba mwanaume huyo kwa jina Nelson Ochora alitaka mkewe ampatie 140 ambayo mkewe alikua ameitenga kwa ajili ya sadaka kanisani.

Mke alikataa kumpatia pesa hiyo na aliporudi kutoka kanisani alimpata marehemu amejinyonga kwa kujitia kitanzi.

Previous articleMwanamke Adai Mziki Wa Msanii Ulimsababishia Mimba
Next articleMI Abaga Azungumzia Ongezeko Imani Za Kishetani Nchini Nigeria
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here