Home BURUDANI ADASA NDANI YA ALBUM MPYA YA KHALLIGRAPH

ADASA NDANI YA ALBUM MPYA YA KHALLIGRAPH

203
0

Msanii Adasa ameelezea furaha yake baada ya kushirikishwa kwenye album mpya ya rapper Khaligraph Jones kwa jina “Invisible Currency”.

Adasa anasema uwepo wa sauti yake katika album hiyo ni jambo kubwa kwake, kwani itamfungulia njia nyingi zaidi katika safari yake ya mziki.

Previous articleDAVIDO AFICHUA SIRI YA KUJAZA UKUMBI LONDON. JE NI NINI?
Next articleNADIA MUKAMI & ARROW BOY WATHIBITISHA HILI
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here