Home BURUDANI Davido Aonya Kuwashtaki Mashabiki Kwa Hili

Davido Aonya Kuwashtaki Mashabiki Kwa Hili

186
0

 

Msanii Davido kutoka nchini Nigeria ameonyesha kukerwa na uvumi uliokithiri mitandaoni kwamba yeye sio baba halisi wa mmoja kati ya watoto wake.

Kupitia mtandao wake wa twitter Davido amesema kwamba hatakubali kamwe watu kuichafulia jina familia yake na madai ambayo hayana msingi.

Davido ametishia kumchukulia hatua za kisheria mtu yoyote ambaye atasambaza madai yoyote ya uongo kuihusu familia yake.

Previous articleTanasha Dona Asema Hawezi Hili Kuhusu Mapenzi
Next articleAlazwa Hospitali Baada Kujizuia Kunyamba Kwa mda Mrefu
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here