Home BURUDANI Kylie Jenner & Travis Scott: Wanataka Kubadili Jina La Mtoto Baada Ya...

Kylie Jenner & Travis Scott: Wanataka Kubadili Jina La Mtoto Baada Ya Wiki 6 Za Kumzaa

155
0

 

Mwanamtindo maarufu nchini Marekani Kylie Jenner na mumewe Travis Scott wametangaza kubadili jina la mtoto wao waliyezaa wiki sita zilizopita.

Mtoto huyo wa kiume alikua amepewa jina la Wolf Jacques Webster alipozaliwa tarehe 6 Februari mwaka huu, lakini sasa wazazi wake Kylie na Travis wanata kuliondoa jina la “Wolf” kutoka katika majina yake rasmi, katika hati yake ya kuzaliwa.

Akitangaza hatua hiyo, Jenner amesema wao kama wazazi wamekubalana kwamba jina “Wolf” halimfai mtoto wao na kufichua kuwa tayari wameweka ombi rasmi kwa afisi ya usajili wa majina na Watoto nchini Marekani wakingoja ombi lao la kubadili jina la mtoto wao kukubaliwa rasmi.

Previous articleMegan Thee Stallion Ashatakiwa Na Record Label Anayotaka Kuihama
Next articleOtile Brown Anunua Kiatu Cha Shilingi 80,000
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here