Home BURUDANI Otile Brown Anunua Kiatu Cha Shilingi 80,000

Otile Brown Anunua Kiatu Cha Shilingi 80,000

116
0

 

Msanii Otile Brown amezua gumzo mitandaoni baada ya kujinunulia zawadi ya viatu vyenye thamani ya shilingi 80,000 madukani.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Otile Brown ameonyesha viatu hivyo aina ya Balenciaga na kusema kwamba ni zawadi yake ya siku yake ya kuzaliwa.

Otile Brown aidha anasema uwezo wake wa kununua viatu aina hio ni inshara tosha kwamba anajiweza kifedha na ako tayari kushindana na wasanii wengine kifedha na mziki.

Previous articleKylie Jenner & Travis Scott: Wanataka Kubadili Jina La Mtoto Baada Ya Wiki 6 Za Kumzaa
Next articleWatumia Kifaa Kupunguza Bei Za Mafuta Kisiri Katika Petrol Stations
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here