Home BURUDANI Roma:Wasanii Wa Kuimba Wengi Wao Ni Wavivu

Roma:Wasanii Wa Kuimba Wengi Wao Ni Wavivu

157
0

Msanii wa hip hop kutoka nchini Tanzania Roma anasema wasanii wengi wenye kipaji cha kuimba wanasumbuliwa na uvivu katika tasnia ya mziki.

Kupitia mtandao wake wa twitter Roma amesema kwamba tasnia ya mziki kwa sasa imetawaliwa na wasanii wengi wenye kiwango cha chini cha kipaji lakini wenye bidii.

Roma ameeleza kuwa wasanii wenye vipaji wameshindwa kimziki na wasani ambao hawana vipaji lakini wanajituma zaidi.

Previous articleWatumia Kifaa Kupunguza Bei Za Mafuta Kisiri Katika Petrol Stations
Next articleNandy:Naogopa Kufa
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here