Home BURUDANI Harmonize Aachwa Na Mpenzi Wake Tena

Harmonize Aachwa Na Mpenzi Wake Tena

117
0

 

Star wa mziki kutoka Tanzania Harmonize amesalia na upweke tena baada ya mpenzi wake raia wa Australia kwa jina maarufu Biana kutangaza kuachana naye.

Kupitia insta story yake mrembo huyo ameweka wazi kwamba ni kweli hayuko tena kwenye mahusiano na Harmonize huku akimtakia star huyo na kumtakia maisha bora ya baadaye.

Briana hata hivyo hakutaja sababu maalum iliyosababisha wawili hao ila amemshukuru Harmonize kwa mda wote waliokua pamoja

Previous articleEzekiel Mutua: Nitapambana Wanamziki Wafaidike Na Kazi Zao
Next articleSis P Afikiria Kuhamia Mziki Wa Gospel.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here