Home BURUDANI Vita Mitandaoni: Ghana Vs Nigeria

Vita Mitandaoni: Ghana Vs Nigeria

104
0

Vita vya mitandaoni miongoni mwa ma Star kutoka Nigeria na Ghana vimezuka baada ya Ghana kuwabandua Nigeria kushiriki kwa michuano ya kombe la Dunia.

Baada tu ya mechi ya jana ma star kutoka Ghana wakiongozwa na mwanamziki Shata Wale walivamia mitandao ya kijamii na kuwakejeli wa Nigeria kwa kuwaita Super Chickens badala ya Super Eagles baada tu ya mechi ya jana.

Mechi hiyo ya jana inaonekana kuongeza uhasama wa kimichezo na Sanaa uliopo kati ya nchi hizo mbili zinazopakana huku mashabiki wa Nigeria wakisababisha uharibifu mkubwa uwanjani kufuatia hasira za kupoteza mechi hiyo.

Previous articleAujiua Kwa Kitanzi Baada Ya Kumkatakata Kwa Panga Mkewe Kilifi
Next articleWill Smith Na Chris Rock Wasameheana
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here