Home dunia Mchungaji Afariki Akikemea Mapepo Kanisani

Mchungaji Afariki Akikemea Mapepo Kanisani

206
0

Mchungaji mmoja amefariki nchini Nigeria wakati akijaribu kukemea mapepo katika kanisa lake.

mchungaji huyo kwa jina Francis Oluwole Ogunnusi alianguka ghafla madhabahuni wakati akiombea waumini waliofka mbele zake kutolewa mapepo katika jimbo la Ogun.

Katika kipande cha video ambacho kinasambaa katika mitandao ya kijamii, mchungaji huyo anaonekana akidondoka ghafla mbele ya waumini waliofika mbele yake kuombewa akiwa katikaktiya maombi akikemea mapepo na nguvu za kichawi.

 

Previous articleMsanii Wa Kike Tajiri Zaidi Duniani Kwa Sasa
Next articleRuby: Natamani Kufariki
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here