Home BURUDANI Msanii Wa Kike Tajiri Zaidi Duniani Kwa Sasa

Msanii Wa Kike Tajiri Zaidi Duniani Kwa Sasa

143
0

 

Mwanadada Robin Fenty maarufu kama Rihanna ameingia rasmi katika orodha ya Mabilionea duniani.

Kwa mujibu wa Jarida la Forbes, Rihana kwa sasa anashikilia nafasi ya 1,729 duniani akiwa na utajiri wa dola bilioni $1.7.

Rihana sasa ndiye mwanamke tajiri zaidi duniani katika upande wa wanamuziki wa Kike.

Previous articleKanye West Apinga Orodha Mpya Ya Matajiri Duniani. Sababu Ni Hii
Next articleMchungaji Afariki Akikemea Mapepo Kanisani
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here