Msanii Ruby kutoka Tanzania amezua wasiwasi miongoni mwa mashabiki wake baada ya kusema kwamba anatamani kufa.
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Instagram, Ruby aaliandika kwamba anatamani kufariki ili akapumzike madhila ya dunia.
Hadi sasa haijabainika kilichopelekea star huyo kuweka ujumbe huo amaboa aliufuta baada ya mda mfupi.