Home BURUDANI Unatafuta Kazi Rahisi? Anataka Kuajiri Mchekeshaji Binafsi 24hrs.

Unatafuta Kazi Rahisi? Anataka Kuajiri Mchekeshaji Binafsi 24hrs.

168
0

Muigizaji marufu nchini Tz Irene Uwoya amezua gumzo nchini Tanzania baada ya kutangaza kwamba anatafuta mtu atakayemuajiri kama mchekeshaji binafsi.

Irene ameeleza kuwa kutokana na uwepo wa shughuli nyingi katika maisha yake, anatafuta mtu ambaye atakua akikaa naye masaa 24 na kumchekesha kila wakati ili kumpunguzia msongo wa mawazo.

Je, unadhani una uwezo kuchekesha mtu ama kuna mtu unayedhani anakipaji cha kuchekesha, mpatie connection ya kazi kwa Irene Uwoya wa Tz.

Previous articleRuby: Natamani Kufariki
Next articleKundi la P Square Limerudi!!! Wimbo Mpya Unatoka Tarehe Hii.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here