Msanii King Saha wa nchini Uganda amezua gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya kufichua kuwa amejinunulia gari jipya kama zawadi.
King saha ambaye anagombani urais wa chama cha wasanii nchini Uganda amejinunulia gari aina ya Mercedes Benz.
Baadhi ya mashabiki mitandaoni wameonkana kutopendezwa nahatua ya msaniih uyo kujinunulia gari hilo wakitaja hali ngumu ya maisha inayoshuhudiwa kwa sasa nchini Uganda tangu ujio wa ugonjwa wa Corona duniani.